Matokeo mechi zote za leo TPL 11 January 2019

Matokeo mechi zote za leo TPL 11 January 2019

0

Matokeo mechi zote za leo TPL 11 January 2019

Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL imeendelea leo kwa jumla ya mechi 2 kuchezwa huku moja kati ya Lipuli dhidi ya JKT Tanzania ikiahirishwa kuchezwa.

Katika mechi hizo Mwadui Fc wamekubali kichapo wakicheza Mwadui Complex baada ya kufungwa bao 2 kwa 1 na Singida United.

Nao watoto wa Kinondoni KMC waite Kino Boys leo wamefanikiwa kupata points tatu muhimu wakicheza na Ruvu Shooting ya mkoani pwani mara baada ya kuishinda kwa bao 1 kwa 0.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY