Matokeo Simba vs Azam Fainali Mapinduzi Cup 13 January 2019

Matokeo Simba vs Azam Fainali Mapinduzi Cup 13 January 2019

0

Matokeo Simba vs Azam Fainali Mapinduzi Cup 13 January 2019

Matokeo ya Moja kwa moja mechi ya Fainali Mapinduzi Cup mwaka 2019 kutoka uwanja wa Gombani huko Kisiwani Pemba Zanzibar.

Mechi Imeanza

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 1 Simba wanapata Kona

Dakika ya 3 Simba wanafanya Shambulizi jingine zito Wadada anaokoa na kuwa kona.

Kikosi cha Azam Fc dhidi ya Simba leo

Dakika ya 4 Mo Ibrahim anapiga shuti nje ya 18 Razack Abarola anautoa na kuwa Kona, Simba wameanza kwa mashambulizi mfululizo.

Dakika ya 8 Azam Fc wanafanya Shambulizi lakini kipa Ally Salim wa Simba anasimama imara

Dakika 10

Azam Fc 0 – 0 Simba

Dakika ya 18 Azam Fc wanatengeneza nafasi nyingine nzuri wanashindwa kuitumia

Kikosi cha Simba dhidi ya Azam leo Mapinduzi Cup

Dakika 20

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 21 Abdul SELEMAN anatengeneza nafasi nzuri lakini krosi yake inadakwa na Razak Abarola

Dakika ya 22 Enock Attah Agyei anajaribu shuti kali langoni mwa Simba kipa Ally Salim anautema na kuudaka mpira

Dakika ya 24 Tafadzwa Kutinyu anatoka anaingia Ramadhan Singano

Dakika 25

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika la 30 Nicolas Wadada anajaribu shuti kali Ally Salim anaondoa na kuwa Kona.

Dakika ya 31 Obrey Chirwa najaribu shuti kali linambabatiza kipa na kuwa Kona

Kona 3 kwa 3 mpaka sasa timu zote zimeshapiga

Azam Fc wanafanya tena shambulizi la Kiume langoni mwa Simba Ramadhani Singano anawakosa kosa Simba

Dakika ya 35 Shiza Kichuya anapiga pande ambalo linakosa mtu na kutoka nje , Goal Kick

Dakika ya 37 Enock Attah anapewa kdi ya Njano

Dakika 40

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 41 Abdul SELEMAN wa Simba anajaribu shuti kali langoni mwa Azam Fc kipa anautema na Kuudaka tena

Goaaaaaaaaaaal dakika YA 44 Mudathir Yahya anaipatia Azam fc bao la kuongoza kwa shuti kaliiii

Simba 0 – 1 Azam fc

Dakika 45 Addul seleman anakosa nafasi ya wazi

HALF TIME

Simba 0 – 1 Azam Fc

KIPINDI CHA PILI

Kimeanza

Azam Fc wanaanza kwa shambulizi na Kupata Kona

Dakika ya 51 Simba wanaonekana kutulia na kuanza kucheza mpira wa Kutulia

Dakika ya 52 Obrey Chirwa anawekewa pasi sukari na Enock Attah Lakini anamalizia kwa kupaisha juu ya LANGO

Dakika ya 55

Simba 0 – 1 Azam Fc

Dakika ya 61 Simba wanatengeneza Shambulizi lakini majalo ya Asante Kwasi inakuwa si kitu kwa kipa Razack Abarola

Goaaaaal Yusuph Mlipili dakika ya 63 anasawazisha bao kwa Simba, Mlipili anajitwisha Kichwa na Kusawazisha

Simba 1 – 1 Azam Fc

Dakika 70

Simba 1 – 1 Azam Fc

Goaaaaaal dakika ya 72 Obrey Chirwa anaitanguliza Azam Fc kwa kuifungia bao la Pili

Simba 1 – 2 Azam fc

Dakika 80

Simba 1 – 2 Azam Fc

Dakika ya 85

Simba 1 – 2 Azam Fc

FULL TIME

Simba 1 – 2 Azam Fc

Install app yetu upate Breaking news za Yanga na Simba Bonyeza hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY