Matokeo Tp Mazembe vs Ismaily leo

Matokeo Tp Mazembe vs Ismaily leo

0

Kwa habari za Papo kwa papo Simba,yanga na Nyingine Like Ukurasa wetu wa facebook HAPA

Matokeo Tp Mazembe vs Ismaily leo

Katika Kundi C Leo imechezwa mechi kati ya TP Mazembe ya Congo dhidi ya Ismaily ya Congo.

Mechi hiyo iliyochezwa huko Congo TP Mazembe licha ya kucheza pungufu uwanjani baada ya Sylvain Gbohouo kupewa kadi nyekundu dakika ya 44 Tp Mazembe imepata ushindi wa bao 2 kwa 0.

Magoli ya TP Mazembe yalipatikana jioni dakika ya 83 na 86 kUPITIA kwa Chico Ushindi na Kelvin Mondeko aliyefunga bao la Pili.

Install app yetu upate Breaking news za Yanga na Simba Bonyeza hapa

 

Punguza matumizi ya MB downoload App Bora ya Michezo BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY