Msikie kocha wa As Vita kuelekea mechi na Simba

Msikie kocha wa As Vita kuelekea mechi na Simba

0

Msikie kocha wa As Vita kuelekea mechi na Simba

Kuelekea pambano kati ya AS Vita dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Jumamosi 19 January 2019 huko nchini Congo kocha Florente Ibenge amezungumza kitu kuhusu Simba.

Ibenge ambaye pia ni kocha wa timu ya Taifa ya Congo amefunguka kuwa Simba si timu ya Kubeza na amewaandaa vijana wake kukabiliana nao.

” Simba si timu ya kubeza . Nina watu Tanzania wananipa habari zake ….pia imekuwa na historia nzuri tu katika makombe haya japo haijashiriki mara kwa mara kwa muda sasa. Nimewaandaa vijana wangu kupambana na Simba kuanzia dakika ya kwanza hadi mwisho. Tumepoteza ugenini na Al Ahly si vyema kupoteza na nyumbani. “ Ibenge – kocha mkuu AS Vita

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY