Mzee Akilimali awaambia wanachama wamchague huyu

Mzee Akilimali awaambia wanachama wamchague huyu

0

Mzee Akilimali awaambia wanachama wamchague huyu

Karibu wa baraza LA wazee wa klabu ya Yanga Ibrahim Akilimali amewataka wanachama kumchagua Baraka Igangula

” Nawaomba wana Yanga wasije wakafanya makosa siku ya Jumapili, nawaombeni sana mchagueni Baraka Igangula. . kijana mstaarabu na mwenye nia ya dhati kuipeleka Yanga mbele, atatujengea uwanja na kujenga ghorofa pale Mafia hata akaunti yetu ya Bank itakuwa na pesa kama kipindi kile cha Iman Madega, huyo Tiboroha sisi kama wazee tulimwita na kumwambia asigombee bali tutamteua awe katibu akatuambia atatupa jibu, cha ajabu kachukua fomu sasa tutamkosa, TUMCHAGUE IGANGULA”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY