Okwi Gumzo wababe wengine Afrika watuma Ofa kumng’oa Simba

Okwi Gumzo wababe wengine Afrika watuma Ofa kumng’oa Simba

0

Okwi Gumzo wababe wengine Afrika watuma Ofa kumng’oa Simba

KIWANGO cha hali ya juu alichokionyesha mshambuliaji wa Simba na Raia wa Uganda Emmanuel Okwi kimefanya vigogo zaidi wa soka la Afrika kumtupia jicho.

Matokeo Ligi kuu ya Kenya 13 January 2019

Awali ilielezwa vilabu kutoka Afrika Kusini ikiwemo Kaizer Chief kumtupia jicho Straika huyo aliyewalaza na viatu Js Saoura ya Algeria kwa kuwafunga na kutoa Assist lakini pia hata manyanyaso akiwa uwanjani.

Inaelezwa kuwa kuna klabu kubwa kutoka nchini Misri imetuma ofa ya kutaka kumng’oa Okwi Simba baada ya kuelezwa kumfatilia kwa muda mrefu lakini zaidi kufurahishwa na uwezo wake aliouonyesha wakicheza na Js Saoura majuzi.

Wakubwa wanafaidi App – Jione Hapa

“Kuna timu kubwa tu kutoka Misri imetuma maombi mara baada ya kumaliza mechi yetu na JSS walionekana walikuwa wanamfuatilia muda mrefu na kipimo kilikuwa kumuona katika mechi ya juzi ambayo kiukweli alikuwa katika kiwango bora,” kilidokeza chanzo kutoka Simba

Wakubwa wanafaidi App – Jione Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY