Ratiba ligi kuu TPL leo 6 January 2019

Ratiba ligi kuu TPL leo 6 January 2019

0

Ratiba ligi kuu TPL leo 6 January 2019

Ligi kuu Tanzania bara itaendelea leo kwa mechi tatyu kuchezwa baada ya jana mechi mbili kuchezwa zikishuhudia Alliance na Mbao zikitoa sare wakati Lipuli ikiifunga Coastal 2 kwa 1.

Leo kutakuwa na mchezo kati ya Biashra United watakaokuwa wenyeji wa Singida United uwanja wa Karume Musoma Mkoani Mara.

Kagera Sugar watakuwa nyumbani uwanja wa Kaitaba kuwakaribisha timu ya Mwadui Fc kutoka Shinyanga.

Nao African Lyon watakuwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid kucheza na Stand United chama la wana.

Like ukurasa wetu wa Facebook Hapa kwa habari zaidi

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY