Ratiba Mapinduzi cup leo 5 January 2019

Ratiba Mapinduzi cup leo 5 January 2019

0

Ratiba Mapinduzi cup leo 5 January 2019

Michuano ya Mapinduzi cup itaendelea leo kwa mechi 2 kuchezwa katika uwanja wa Amani huko visiwani Zanzibar.

Mechi ya kwanza itakuwa kati ya KMKM watakaocheza na Mlandege SAA kumi na robo.

SAA mbili na roho kutakuwa na mchezo kati ya Yanga na Azam

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY