Simba hatihati kuendelea na Sportpesa Leopards watibua

Simba hatihati kuendelea na Sportpesa Leopards watibua

0

Simba hatihati kuendelea na Sportpesa Leopards watibua

WAKATI washabiki na wapenzi wa klabu ya Simba wakiwa na furaha kufuatia timu yao kutinga nusu Fainali huenda wakajikuta katika hali ya Sintofahamu mara baada ya AFC Leopards kuwakatia Simba Rufaa.

AFC Leopards wamekata rufaa kupiga Simba kuchezesha wachezaji wao wawili raia wa Ghana na Togo kutokana na Kanuni kutoruhusu kutumia wachezaji ambao hawajasajiliwa na timu zao.

Akiongea baada ya mchezo huo msomaji wa kwataunit.co.ke Mkuu wa msafara wa AFC Leopards Saul Shikuku ameeleza kuwa Simba wamekiuka kanuni za mashindano hayo kwa kuwatumia wachezaji hao lakini wao wakiwa na Ushahidi juu ya mchezaji Lamine Moro ambaye ni mchezaji wa Buildcon ya Zambia.

Shikuku ameeleza kuwa mchezaji huyo kupitia TMS inaonyesha kuwa ni mchezaji wa Buildcon na inaonekana ni mchezaji ambaye ni Active akiwa amesajiliwa na Timu hiyo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY