Simba kuitumia Sportpesa kama kitambaa

Simba kuitumia Sportpesa kama kitambaa

0

Simba kuitumia Sportpesa kama kitambaa

Michuano ya Sportpesa Super Cup 2019 inaanza leo katika uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam ambapo kutakuwa na mechi 2 katika siku ya Leo January 22, 2019.

Kuelekea mchezo wa kwanza wa Simba kesho 23 January 2019 dhidi ya AFC Leopards klabu ya Simba imeeleza juu ya mipango yake na Michuano ya Sportpesa Super Cup 2019.

Ifahamu Kariobangi Sharks ya Kenya

Simba kuelekea michuano ya Sportpesa Super Cup afisa habari wake Haji manara amefunguka kuwa wataitumia michuano ya Sportpesa Super cup kujifuta machozi na kurudisha imani kwa wanachama na washabiki wa Simba baada ya kupokea kichapo cha bao 5 kwa 0 kutoka kwa As Vita.

Manara msomaji wa Kwataunit.co.ke amefunguka kuwa anajua imani imepungua kwa kikosi chao lakini wameongea na wachezaji kuhakikisha wanachukua ubingwa huo ili kuhakikisha wanarudisha imani kwa washabiki wao.

Njia ya Kitamaduni baba kujua kama mtoto ni wako

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY