Simba: wachezaji 18 waliorudi Dar kuivaa Js Saoura

Simba: wachezaji 18 waliorudi Dar kuivaa Js Saoura

0

Wachezaji 18 wa kikosi chetu leo asubuhi wanarejea Jijini Dar es Salaam kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuwakabili JS Saoura katika mchezo Ligi ya Mabingwa Afrika.


WANAOREJEA DSM ASUBUHI HII
1.Aishi Manula
2.Deo Munishi Dida
3.Nicholas Gyan

 1. Mohamed Hussein
  5.Juuko Murshid
  6.Pascal Wawa
  7.Jonas Mkude
  8.James Kotei
  9.Clatous Chama
  10.Hassan Dilunga
  11.Haruna Niyonzima
  12.Said Ndemla
  13.Mzamiru Yassin
  14.Shiza Kichuya
  15.Rashid Juma
  16.John Bocco
  17.Emmanuel Anord Okwii
  18.Meddie Kagere

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY