Simba watoa tamko kuhusu wachezaji waliokuja kwenye majaribio

Simba watoa tamko kuhusu wachezaji waliokuja kwenye majaribio

0

Simba watoa tamko kuhusu wachezaji waliokuja kwenye majaribio

Siku moja baada ya ya kuwasili na kufanya mazoezi na kikosi cha Simba wachezaji wawili kutoka Togo na Ghana hatimae klabu ya Simba imetoa ufafanuzi juu ya wachezaji hao.

Wachezaji Lamine Moro kutoka Ghana (beki) na Hunlede Kissimbo Ayi-Abel kutoka Togo (mshambuliaji) wamejiunga na timu yetu kwa majaribio na iwapo Kocha Mkuu Patrick Aussems ataona wanafaa kuwatumia katika mashindano yaliyopo mbele yetu watasajiliwa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY