Simba wawasili salama Tanzania

Simba wawasili salama Tanzania

0

Simba wawasili salama Tanzania

Klabu ya Simba leo alfajiri imewasili salama nchini Tanzania ikitokea Nchini Congo ambapo ilienda kucheza mchezo wa Klabu Bingwa barani Afrika dhidi ya As Vita.

Simba imewasili alfajiri ya leo na Keshokutwa Simba itacheza mchezo wake wa kwanza wa Sportpesa Super Cup dhidi ya AFC Leopards ya Kenya.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY