Simba yashusha Straika mpya wa Mechi 11 Goli 9

Simba yashusha Straika mpya wa Mechi 11 Goli 9

0

Simba yashusha Straika mpya wa Mechi 11 Goli 9

Klabu ya Simba inazidi kujipanga kuhakikisha inakuwa NA kikosi ambacho kitafanya vizuri ndani na nje ya Nchi ya Tanzania na kuhakikisha Simba inakuwa tishio kweli kweli.

Wakati jana kikosi cha Simba kikiwashuhudia wachezaji wapya wawili waliokuja kwaajili ya majaribio ambao ni Lamine Moro anayecheza kama beki wa kati na Hunlede Kisimbo ambaye ni Straika kuna mashine nyingine imetua

Simba hatihati kuendelea na Sportpesa Leopards watibua

Mchezaji huyo aliyetua naye anacheza nafasi ya Ushambuliaji akijulikana kwa jina la Sadney Urikhob 

Mchezaji huyo amezaliwa mwaka 1992 katika nchi ya Namibia huku akiwa amewahi kucheza soka la kulipwa katika nchi za Afrika Kusini katika klabu ya Amazulu na soka la kulipwa pia nchini Indonesia na nchi nyingine kadha wa kadha.

Akiwa katika klabu ya PSMS Medan ya Indonesia aliweza kufunga magoli 9 katika mechi 11 alizochezea klabu hiyo yenye mafanikio zaidi katika soka la Indonesia.

Install App bora ya Michezo kwasasa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY