Simba yashusha wapya 2, wapiga mazoezi na Kikosi

Simba yashusha wapya 2, wapiga mazoezi na Kikosi

0

Simba yashusha wapya 2, wapiga mazoezi na Kikosi

Timu ya Simba leo 21 Janauray 2019 ilifanya mazoezi katika uwanja ambao imekuwa ikiutumia katika mazoezi ya Kila mara uwanja wa Boko Veteran uliopo jijini Dar Es Salaam.

Njia za Kusaidia Mwanaume asifike kileleni Mapema

Kikosi cha Simba kilifanya mazoezi yake kikiwa na Nyota wake takribani wote walioenda nchini Congo huku kukiwa na Ongezeko la wachezaji wawili wapya.

Wachezaji hao imeelezwa kuwa wamekuja kwaajili ya majaribio ambao ni Beki wa kati kutoka Ghana anayeitwa Lamine Moro, na Mwingine akicheza Nafasi ya Ushambuliaji Ayi Abel Kissibo.

Endelea kufatilia App yetu kwa Habari zaidi INSTALL HAPA

Njia ya Kitamaduni baba kujua kama mtoto ni wako

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY