Timu 16 zilizofuzu Makundi Shirikisho Afrika

Timu 16 zilizofuzu Makundi Shirikisho Afrika

0

Timu 16 zilizofuzu Makundi Shirikisho Afrika

Wikiendi Hii timu 16 zilipatikana baada ya mechi za marudiano hatua ya Mtoano kuchezwa kwa zile timu zilizokuwa zimefuzu hatua hiyo hatua ya awali na zile zilizotolewa klabu bingwa barani Afrika.

Baada ya mechi mbili za Nyumbani na Ugenini hizi ndizo timu 16 zilizofuzu hatua ya Makundi.

Etoile Sahel 🇹🇳
Al Hilal Omdurman 🇸🇩
Petro Atletico 🇦🇴
Salitas FC 🇧🇫
Zamalek SC 🇪🇬
RS Berkane 🇲🇦
ZESCO United 🇿🇲
Hassania Agadir 🇲🇦
Enugu Rangers 🇳🇬
Otoho d’Oyo 🇨🇬
Asante Kotoko SC 🇬🇭
CS Sfaxien 🇹🇳
Gor Mahia FC 🇰🇪
Raja CA 🇲🇦
Nkana FC 🇿🇲
NA Hussein Dey 🇩🇿

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY