Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Tshishimbi

Ujumbe wa Faraja kutoka kwa Tshishimbi

0

Baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu kutokana na kuwa majeruhi Papy Tshishimbi siku ya Jumatatu ameungana na wenzake kuanza mazoezi ya pamoja na Kikosi cha Yanga.

Chaneli za Tanzania zitakayoonyesha Sportpesa Super Cup

Tshishimbi kupitia ukurasa wake wa instagram aliandika kuwa amerejea katika kikosi cha Yanga na Kisha baadaye akitumia ukurasa wake wa Instagram aliandika Ujumbe wa faraja kwa wana Yanga.

am taking this oportunity of thank all fans and sappoters for all nice words to me when i i wasn’t there….i got nice messege and bad messege as well,but all in all thank you.. now am back lets work..

Nichukue nafasi hii kuwashukuru washabiki wote kwa maneno mazuri kwa kipindi chote nilichokuwa nje ya Uwanja , nilipata jumbe nzuri na mbaya pia lakini yote kwa yote nashukuru, Sasa nimerudi kazini.

Njia za Kusaidia Mwanaume asifike kileleni Mapema

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY