Ujumbe wa Manara baada ya Simba kuwafunga Mlandege

Ujumbe wa Manara baada ya Simba kuwafunga Mlandege

0

Ujumbe wa Manara baada ya Simba kuwafunga Mlandege

Baada ya Ushindi wa Simba wa bao 1 kwa 0 waliopata wakicheza dhidi ya Mlandege ya Zanzibar huu ndiyo ujumbe wa Afisa habari wa Simba Haji manara.

Asanteni Wazanzibar,tumeyaunga mkono Mapinduzi matukufu kwa kuwaletea kikosi cha kwanza na bila shaka mmestareheka vya kutosha,ila mtuwie radhi kdogo,Tuna jukumu la kinchi,tunarudi Dar kesho na sehemu kubwa ya kikosi huku tukiwaongeza wale wa Timu ya vijana ili haki na wajibu wetu uendelee!!
Simba 1-0 Mlandege,
Yes We Can

Like ukurasa wetu wa Facebook Hapa kwa habari zaidi

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY