Ujumbe wa Mo Dewji baada ya Ushindi wa Simba

Ujumbe wa Mo Dewji baada ya Ushindi wa Simba

0

Ujumbe wa Mo Dewji baada ya Ushindi wa Simba

Baada ya Machampion wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara Kupata Ushindi wa bao 3 kwa 0 mbele ya Js Saoura ya Algeria boss wa Simba Mohammed Dewji Mo amendika Ujumbe huu kupitia Kurasa zake za Mitandao ya Kijamii.

Huu ni ushindi wetu sote! Nawapongeza na kuwashukuru wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama, mashabiki, na wapenzi wote wa SIMBA!

Safari ndio kwanza inaanza. Tuendeleze mshikamano wetu ili tufikie lengo letu la kuwa mabingwa wa Afrika, Insha’Allah NguvuMoja

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY