Ujumbe wa Mo Dewji kuelekea mechi na Waarabu

Ujumbe wa Mo Dewji kuelekea mechi na Waarabu

0

Ujumbe wa Mo Dewji kuelekea mechi na Waarabu

Boss wa klabu ya Simba Mo Dewji ameandika ujumbe wake kwenye ukurasa wa Instagram kuelekea pambano kati ya Simba na JS Saoura leo.

Siri ya ushindi ipo mikononi mwa mashabiki wa Simba! Kwa heshima na taadhima tujaze uwanja. 🙏🏽 #YESWECAN

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY