Utani wa Manara baada ya yanga kufungwa 7 bila na Simba

Utani wa Manara baada ya yanga kufungwa 7 bila na Simba

0

Utani wa Manara baada ya yanga kufungwa 7 bila na Simba

Leo ilichezwa mechi kati ya Simba queens dhidi ya Yanga Princess katika uwanja wa Karume

Mechi hiyo ilimalizika kwa Simba kuinyoosha ipasavyo Yanga bao 7 kwa 0 , Baada ya mchezo huo Haji Manara amewatupia dongo Yanga.

Uzoba ni nn?
Ni kushangilia Azam kumfunga Simba 2-1 huku ww ulilambwa Tatu,na mwenzio kaondoka na milioni kumi,
Ujuha ni nn?
Ni kujitoa fahamu huku dada zenu wamepewa kifurishi cha Wiki!!!
Injinia Soma hyo,ngapi?

Wakubwa Wanafaidi- Install App hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY