Utani wa Manara baada ya Yanga kufungwa na Azam

Utani wa Manara baada ya Yanga kufungwa na Azam

0

Yanga usiku wa 5 January 2019 imechezea kichapo cha bao 3 kwa 0 kutoka kwa Azam Fc huku aliyekuwa mshambuliaji wake wa zamani Obrey Chirwa akiifungia Azam Fc bao 2 peke yake kati ya Tatu.

Baada ya mechi hiyo afisa habari wa Simba haji manara kupitia ukurasa wake wa Instagram amepost mtu aliyesinzia akiwa na jezi kama ya Yanga na Kuandika Ujumbe huu likiwa ni dogo kwa Dismas Ten

Tuwe serious kdogo!!
Huyu ndio kibenten kilichokanyagwa tatu leo?

Like ukurasa wetu wa Facebook Hapa kwa habari zaidi

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY