Wachezaji 4 Simba wanaoenda Zanzibar kuongeza nguvu dhidi ya Azam

Wachezaji 4 Simba wanaoenda Zanzibar kuongeza nguvu dhidi ya Azam

0

Wachezaji 4 Simba wanaoenda Zanzibar kuongeza nguvu dhidi ya Azam

Simba leo itakuwa uwanjani tena kucheza fainali ya Mashindano maalumu ya Mapinduzi Cup Simba ikicheza na Azam Fc ambao waliingia kwa kuwatoa KMKM nusu Fainali wakati Simba waliingia baada ya kuwaondoa Malindi kwa njia ya mikwaju ya penati.

Wachezaji wanne wa Simba wanaelekea Zanzibar asubuhi ya leo kwaajili ya kuongeza nguvu kikosi kilichobakia Zanzibar.

Wachezaji hao wanne wanaoenda kuungana na wenzao ni Shiza Ramadhan Kichuya, Haruna Niyonzima “Fabregas” , Mzamiru Yassin na kiberenge Rashid Juma.

Mechi hiyo itacheza katika kisiwa cha Pemba na siyo katika kisiwa cha Unguja kama mechi za awali zilivyokuwa zikichezwa hatua ya makundi mpaka nusu fainali.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY