Walichoandika Simba baada ya Kuwatwanga Saoura

Walichoandika Simba baada ya Kuwatwanga Saoura

0

Walichoandika Simba baada ya Kuwatwanga Saoura

Mara baada ya ushindi wa bao 3 kwa 0 walioupata Simba wakicheza dhidi ya Js Saoura ya Algeria klabu ya Simba imeandika ujumbe kupitia ukurasa maalumu wa Simba wa Instagram.

Install app yetu upate Breaking news za Yanga na Simba Bonyeza hapa

Timu bora imeshinda. #CAFCL#NguvuMoja 💪🏽

View this post on Instagram

Timu bora imeshinda. #CAFCL #NguvuMoja 💪🏽

A post shared by Simba SC Tanzania (@simbasctanzania) on

Mabao ya Simba katika mchezo wa leo yaliwekwa kimyani na Emmanuel Okwi na Meddie Kagere mabao mawili.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY