Wapinzani wa Simba CAF wazidi kupunguzwa Nguvu

Wapinzani wa Simba CAF wazidi kupunguzwa Nguvu

0

Wapinzani wa Simba CAF wazidi kupunguzwa Nguvu

Wapinzani wa Simba katika michuano ya CAF Champions League timu ya Al Ahly imepungukiwa na Nguvu baada ya mchezaji wake tegemeo kujiunga na timu nyingine

Beki wa kulia wa Al Ahly Salif Coulibaly raia wa Mali amejiunga na Klabu ya Al Shorta SC ya Iraq. Coulibaly alikuwepo kwenye kikosi cha kwanza cha Al Ahly kilicho shinda 2-0 dhidi ya As Vita kwenye mchezo wa Klabu bingwa afrika hatua ya makundi.

KWA WAKUBWA TU INSTALL APP YA WAKUBWA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY