Yanga mzigoni leo 3 January 2019

Yanga mzigoni leo 3 January 2019

0

Yanga mzigoni leo 3 January 2019

Michuano ya Mapinduzi Cup kwa mwaka 2019 tayari imeshaanza na kuchukua kasi huko Zanzibar huku jana ikishuhudiwa wawakilishi wa Tanzania bara timu ya Azam ikibana na Jamhuri kutoka Pemba kwa sare ya bao 1 kwa 1.

Matokeo ligi kuu ya England 2 January 2019

Kikosi cha Yanga leo 3 January 2019 kitashuka dimbani majira ya saa mbili na robo usiku kucheza na Vijana wa KVZ ambao walitoka sare katika mchezo wao dhidi ya Malindi ukiwa ndiyo mchezo wa kwanza wa ufunguzi.

HATA Hivyo Yanga itatumia wachezaji wengi wa kikosi cha pili na timu ya vijana wa Under 20 kutokana na pendekezo la kocha wao Mwinyi Zahera.

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY