Yanga vs Biashara United leo 31 January 2019

Yanga vs Biashara United leo 31 January 2019

0

Yanga vs Biashara United leo 31 January 2019

Kikosi cha Yanga leo 31 January 2019 kitashuka Dimbani kucheza na Biashara United kutoka mkoani Mara katika mchezo wa kombe la shirikisho maarufu zaidi kama Azam Sports Federation Cup.

Kuelekea mchezo huo Yanga imeeleza kuwa itawakosa nyota wake wawili ambao ni majeruhi ambao ni Baruani Akilimali ambaye ni majeruhi wa muda mrefu kwenye kikosi cha Yanga na mchezaji mwingine ni Jaffary Mohammed.

Upande wa Biashara United msomaji wa Kwataunit.co.ke kupitia kwa msemaji wake Amani Josiah ameeleza kuwa wao kama Biashara United wapo tayari kuwakabili Yanga na wanaamini kuwa wanaweza kupata matokeo mbele ya Yanga.

Matokeo ligi kuu ya England 30 January 2019

Josiah amefunguka kuwa licha ya kuwa Yanga ni timu kubwa lakini wameshawaona na kuwafatilia vyema na matokeo ya kufungwa katika mechi zilizopita ya Ligi dhidi ya Stand United na Sportpesa imewafanya waamini hata wao wanaweza wakawafunga.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY