Zahera aongeza vijana Under 20 wawili kwenye kikosi cha Wakubwa

Zahera aongeza vijana Under 20 wawili kwenye kikosi cha Wakubwa

0

Zahera aongeza vijana Under 20 wawili kwenye kikosi cha Wakubwa

Vijana wawili kutoka Yanga B Gustavo Simon na Shaban Ramadhani wamechaguliwa na kocha mkuu Mwinyi Zahera kujumuika katika kikosi A cha Yanga kwa ajili ya kuisaidia timu katika michezo ya ligi kuu..

Kocha ameagiza leseni zao zipatikane mapema ili aanze nao program za timu kuelekea duru hii ya mzunguko wa pili.

Vijana hao wawili walionekana kufanya vizuri katika kikosi cha Yanga kilichoshiriki michuano ya Mapinduzi Cup 2019 licha ya Yanga kutolewa mapema katika hatua ya Makundi.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY