Zahera asema mchezaji huyu ameshuka Kiwango

Zahera asema mchezaji huyu ameshuka Kiwango

0

Zahera asema mchezaji huyu ameshuka Kiwango

Mechi kati ya Yanga dhidi ya Biashara United kombe la shirikisho Azam Sports Federation Cup imemalizika kwa Yanga kufanikiwa kushinda na kuendelea kwa hatua ya tano.

Baada ya kumalizika mechi hiyo kocha wa timu ya Yanga Mcongo Zahera Mwinyi amefunguka kuhusu kushuka kiwango cha mshambuliaji wake Heritier Makambo toka alipotoka kwao nchini Congo.

Zahera msomaji wa kwataunit.co.ke ameweka wazi kuwa haridhishwi na kiwango cha Makambo toka ametoka kwao nchini Congo alipokuwa kwa likizo ya muda mfupi amekuwa anacheza chini ya kiwango.

” Huyu siyo Makambo nayemjua mimi kiwango chake kimeshuka sana, Kwani angekuwa kwenye kiwango chake mechi isingefika hatua ya penati “

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY