Zahera ataja makombe 3 ambayo lazima Achukue

Zahera ataja makombe 3 ambayo lazima Achukue

0

Zahera ataja makombe 3 ambayo lazmima Achukue

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Zahera Mwinyi amefunguka Kuwa msimu huu ni lazima ahakikishe kikosi chake cha Yanga kinachukua Ndoo tatu muhimu yeye kama kocha wa Yanga.

Zahera Mwinyi akiongea leo kwenye mkutano wa Sportpesa na Waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam amefunguka kuwa atahakikisha wanachukua Ubingwa wa Ligi kuu , kombe la Shirikisho Azam Sports Federation Cup na Kombe la Sportpesa Super Cup.

Njia za Kusaidia Mwanaume asifike kileleni Mapema

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY