Zahera : ataja wachezaji hawa 3 tu Simba ambao angeweza wasajili Yanga

Zahera : ataja wachezaji hawa 3 tu Simba ambao angeweza wasajili Yanga

0

Zahera : ataja wachezaji hawa 3 tu Simba ambao angeweza wasajili Yanga

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Zahera Mwinyi ambaye kwasasa amekuwa ni moja ya makocha wanaoonekana kuwa bora kutokana na kuisaidia Yanga kupata matokeo licha ya wachezaji kuwa na hali ngumu kiuchumi na kutokuwa wachezaji wa viwango vya juu sana.

Kocha huyo akizungumza kupitia kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza Azam Tv aliulizwa swali akiambiwa ataje wachezaji watano kutoka Simba ambao angepewa nafasi ya kusajili basi angewasajili yanga.

Zahera Mwinyi msomaji wa Kwataunit.co.ke alifunguka kuwa angewasajili John Bocco, Meddie Kagere na Na Mzambia Cletous Chota Chama na siyo zaidi ya wachezaji hao licha ya kukiri hata wengine ni wazuri.

Like ukurasa wetu wa Facebook Hapa kwa habari zaidi

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY