Zahera sasa sifa na hii tena Yeye

Zahera sasa sifa na hii tena Yeye

0

Zahera sasa sifa na hii tena Yeye

Unakumbuka mwezi September na mwezi November kocha mkuu wa Yanga Zahera mwinyi alifanikiwa kutwaa tuzo kama kocha bora wa ligi kuu kwa Mwezi September akakosa October lakini ilipofika November akatwaa tena yeye.

Basi asikuambie mtu Mwinyi Zahera ananafasi nyingine tena ya kuchukua mwezi wa Kumi na Mbili yani December kutokana na rekodi jinsi zilivyokaa.

Ligi kuu soka ya Tanzania TPL kuendelea leo 3 January 2018

Katika mwezi December Zahera Mwinyi anaonekana kuwa na rekodi nzuri kwani timu imecheza mechi 5 na katika mechi hizo tano Yanga imeshinda mechi zote huku kocha wa KMC Ettiene akiwa naye ameiongoza KMC mechi 5 lakini akiambulia points sita pekee.

Upande wa babu Pluijm yeye anaonekana kuwa naye alikuwa vizuri lakini kutoa sare na KMC na Kisha kupoteza mbele ya Mtibwa Sugar kunaweza kumfanya asiwe na sifa ya KUBATTLE na Zahera Mwinyi.

Install Simba na Yanga Breaking News App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY