Zana Coulibaly : Muda Utaongea

Zana Coulibaly : Muda Utaongea

0

Leo Simba ilifanikiwa kutinga nusu Fainali ya Michuano ya Sportpesa Super Cup 2019 baada ya kuitandika AFC Leopards kwa bao 2 kwa 1 mabao ya Emmanuel Okwi na Clatous Chota Chama.

Lakini bao la kwanza la Simba lililofungwa Okwi lilitokana na kazi nzuri ya beki wa Kulia Zana Coulibaly aliyepiga tokea upande wa Kulia kwa krosi iliyomkuta Okwi ambaye aliwahadaa walinzi wa Leopards na Kisha kufunga.

Baada ya mchezo huo Zana ameandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa Muda Utaongea.

time will tell⌚⚽
Simba is my Team,Tanzania is my second home
.

” Muda utaongea, Simba ni timu yangu na Tanzania ni nyumbani kwangu baada ya Burkinafaso “

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY