AFC Leopards kumkosa mchezaji huyu mechi ya kesho

AFC Leopards kumkosa mchezaji huyu mechi ya kesho

0

AFC Leopards kumkosa mchezaji huyu mechi ya kesho

Klabu ya AFC Leopards ya nchini Kenya leo imetangaza kumkosa mchezaji wake Ezekiel Edward Seda kwenye mchezo kati yao na Mt Kenya utakaochezwa kesho.

Mchezaji huyo atakosekana kutokana na maumivu ya Goti yanayomkabili , Katika hatua nyingine klabu hiyo leo imemtangaza kocha Andre Casa Mbungo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo baada ya
Marko Vasiljevic kuachana na timu hiyo kutokana na matokeo mabovu.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

CLUB UPDATE Our midfielder Ezekiel Edward Seda will miss our match tomorrow vs Mt.Kenya United after suffering a knee injury on Sunday in our Kenya Premier League match against Bandari FC in Mombasa.

Wameandika Leopards

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY