AFC Leopards yatangaza kocha mpya

AFC Leopards yatangaza kocha mpya

0

AFC Leopards yatangaza kocha mpya

Klabu ya AFC Leopards ya nchini Kenya Waite Ingwe au Chui wa Kenya leo wamemtangaza kocha mpya ambaye anachukua nafasi ya kocha aliyeachana na AFC Leopards Jumatatu ya wiki hii
Marko Vasiljevic

Kocha mpya wa AFC LEOPARDS anaitwa Andre Casa Mbungo ambaye ni raia wa Rwanda

Kupitia ukurasa wao wa Twitter AFC Leopards wameandika kuwa wameingia mkataba wa mwaka mmoja na nusu.

CLUB UPDATE We have a new coach. AFC Leopards has appointed Rwandese Andre Casa Mbungo as our new coach on a one and a half year deal Andre replaces Marko Vasiljevic who parted company with the club on Monday. Welcome to the den Andre. #SportPesa#INGWE

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY