Alichoandika Dismas Ten baada ya Ushindi wa Yanga leo

Alichoandika Dismas Ten baada ya Ushindi wa Yanga leo

0

Alichoandika Dismas Ten baada ya Ushindi wa Yanga leo

Kikosi cha Yanga leo kimepata Ushindi baada ya kuukosa takribani mechi 3 zilizopita Ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL leo ikishinda mbele ya JKT Tanzania bao 1 kwa 0 goli likifungwa na Feisal Salum.

Baada ya Mchezo afisa habari wa Yanga Dismas Ten kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe Huu hapo chini kupitia ukurasa wake wa Instagram

Install Michezo Plus App

Kuna jambo moja tunaweza kuzungumza kuhusu mpira wetu …. Kelele na malalamiko juu ya waamuzi…..
Hili limekuwa donda ndugu…..
Kwa waamuzi…. Kuna jambo la kujifunza kwa 
Heri Sasi…. yuko tofauti kidogo…..! japo binaadamu hatukosi mapungufu…. anyway acha siku ipite hivi….
Nafikiria cha kuagiza ninywe kuwatakia kheri watani zangu… Japo ni ……

—————————————————

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY