Aussems aanika kikosi cha Simba dhidi ya Al Ahly leo

Aussems aanika kikosi cha Simba dhidi ya Al Ahly leo

0

Aussems aanika kikosi cha Simba dhidi ya Al Ahly leo

Kuelekea mchezo kati ya Simba na Al Ahly kocha wa Simba Mbelgiji Patrick Aussems ameonekana kupanga kikosi ambacho huenda akakitumia katika mchezo dhidi ya Al Ahly leo katika mazoezi ya mwisho aliyokuwa akiyafanya na Kikosi chake.

Viingilio mechi ya Yanga vs Simba 16 February 2019

Katika mazoezi hayo msomaji wa Kwataunit.co.ke Kocha Patrick Aussems yaliyofanyika juzi na jana alionekana kuwapanga Aishi Manula Golini, Pembeni Kulia akianza Zana Coulibaly na Kushoto Mohammed Hussein.

Upande wa Mabeki wa kati aliwapanga Juuko Murshid na Sergie Pascal Wawa .

Install Michezo Plus App

Viungo wa kati na Pembeni : Kocha Patrick Aussems katika eneo la Kati aliwachezesha KWA pamoja Jonas Mkude, James Kotei na Clatous Chota Chama

Huku akiwachezesha pamoja wachezaji John Bocco, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi katika safu ya Ushambuliaji Okwi akianza kama namba 11 huku Bocco na Kagere wakicheza kama washambuliaji wa kati.

Install App ya Wakubwa Ujishindie Vocha kila Siku

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY