Azam hatihati kuwakosa makipa wake wawili wa Kwanza dhidi ya Lipuli

Azam hatihati kuwakosa makipa wake wawili wa Kwanza dhidi ya Lipuli

0

Azam hatihati kuwakosa makipa wake wawili wa Kwanza dhidi ya Lipuli

Azam Fc Jumatatu 11 February 2019 inashuka Dimbani mkaoni Iringa kucheza na wenyeji wao Lipuli Fc katika mchezo wa Ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL.

Kuelekea mchezo huo Azam Fc inahatihati ya Kuwakosa makipa wake wa Kwanza na Wapili ambapo kipa namba Moja Razack Abalora anatumikia adhabu ya kadi nyekundu aliyopewa kwenye mchezo dhidi ya Alliance Fc

Wakati kipa namba mbili Mwadini Ally naye ikielezwa licha ya kusafari na timu lakini yupo kwenye hatihati ya kutocheza kutokana na afya yake kutokuwa vizuri.

Hata hivyo meneja wa Azam Fc amefunguka kuwa mpaka Jumatatu asubuhi majira ya saa nne watakuwa wameshaelewa kama ataweza kucheza ama hapana.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY