Azam waachana na Hans Van Pluijm

Azam waachana na Hans Van Pluijm

0

Azam waachana na Hans Van Pluijm

Taarifa kutoka Azam Fc zinaeleza kuachana na Kocha wake Hans Van Pluijm na aliyekuwa msaidizi wake Juma Mwambusi kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo.

Kocha huyo ameiongoza Azam Fc katika jumla ya michezo 25 ya Ligi kuu Akishinda mechi 14 akitoa sare 8 na Kufungwa Jumla ya mechi 3.

Install App Bora Ya Michezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY