Azam waendelea na mazoezi kuikabili Alliance TPL

Azam waendelea na mazoezi kuikabili Alliance TPL

0

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

Azam waendelea na mazoezi kuikabili Alliance TPL

Mabingwa wa soka Afrika Mashariki na kati timu ya Azam Fc imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar Es Salaam.

Azam wamefanya mazoezi jana usiku wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya vijana kutoka Mwanza timu ya ALLIANCE Fc.

Wachezaji watatu kutoka Simba anaowakubali Tambwe

Mchezo huo msomaji wa Kwataunit.co.ke utachezwa Jumatano majira ya saa mbili usiku katika uwanja wa Azam.

Mpaka sasa Azam Fc wapo katika nafasi ya pili kwenye msimamo wakiwa na points 47 baada ya mechi ishirini wakati Alliance wakiwa nafasi ya 7 wakiwa na points 31 baada ya kucheza mechi 24.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY