Breaking News: Michael Wambura afanya maamuzi mazito

Breaking News: Michael Wambura afanya maamuzi mazito

0

Breaking News: Michael Wambura afanya maamuzi mazito

Baada ya sarakasi za hapa na pale kati yake na Shirikisho la soka nchini Tanzania Michael Wambura ametangaza maamuzi mazito leo hii.

Michael Wambura ametangaza rasmi kuachana na masuala yote ya soka ikiwepo na Kujiuzulu kama kaimu mwenyekiti wa shirikisho hilo la soka Nchini.

Wakili wake msomaji wa Kwataunit.co.ke Emmanuel Muga ndiye aliyethibitisha kujiondoa kwa mteja wake Michael Wambura.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY