Coastal Union vs Yanga leo 3 February 2019

Coastal Union vs Yanga leo 3 February 2019

0

Coastal Union vs Yanga leo 3 February 2019

Kikosi cha Yanga leo kinashuka dimbani katika uwanja wa Sokoine jijini Tanga kucheza na Coastal Union inayonolewa na kocha Mgunda.

Mechi hiyo msomaji wa Kwataunit.co.ke itaanza majira ya saa kumi kamili alasiri huku makocha wa timu zote wakitamba kuandaa vikosi vyao vizuri kuelekea mchezo huo wa leo.

Kocha Bahati Mgunda ametamba kuwa amewaandaa vyema vijana wake kuwakabili Yanga akiamini kuwa ni timu kubwa lakini wanalengo moja tu la kubakiza points 3 muhimu nyumbani.

Nao Yanga msomaji wa Kwataunit.co.ke kupitia kwa Kocha wake Zahera Mwinyi amefunguka kuwa anajua itakuwa mechi ngumu lakini kama kawaida yake wataingia na lengo la kupata alama3 muhimu.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY