Dau waliloahidiwa wachezaji wa Simba wakiifunga Yanga

Dau waliloahidiwa wachezaji wa Simba wakiifunga Yanga

0

Dau waliloahidiwa wachezaji wa Simba wakiifunga Yanga

Bwana eeeeh leo ndiyo leo Nchini Tanzania ambapo Darby ya jiji la Dar Es Salaam kati ya Yanga na Simba Itachezwa katika uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa kumi kamili saa za Afrika mashariki.

Kuelekea mchezo huo Msomaji wa Kwata Unit taarifa za ndani zinaeleza kuwa maboss wa Simba wameahidi dau nono kwa wachezaji endapo leo wataifunga Yanga.

Taarifa za kuaminika kutoka ndani ya Simba zinaeleza kuwa wachezaji wa Simba watapewa kiasi cha milioni 4 kama watafanikiwa kuifunga Yanga katika mchezo wa leo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY