Gor Mahia waendeleza ubabe kwa AFC Leopards

Gor Mahia waendeleza ubabe kwa AFC Leopards

0

Gor Mahia waendeleza ubabe kwa AFC Leopards

Leo Jumamosi 9 February 2019 nchini Kenya kulikuwa na moja kati ya mechi inayogusa hisia za Wakenya Wengi Darby kubwa zaidi nchini Kenya na Darby ya pili kwa umaarufu Afrika Mashariki ” Mashemeji Darby” mechi kati ya Gor Mahia dhidi ya AFC Leopards.

Mechi hiyo iliyochezwa katika uwanja wa Kasarani imeisha kwa Gor MAHIA kushinda kwa mara nyingine na kuendeleza ubabe kwa AFC Leopards kwa mara nyingine ndani ya miaka ya karibuni.

Gor Mahia msomaji wa Kwataunit.co.ke waite K’Ogalo wamepata ushindi wa bao 2 kwa 0 bao la kwanza likipatikana mapema tu dakika ya 15 kupitia kwa Muguna na kisha kupata bao la tatu kupitia kwa Kahata dakika ya 64.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY