Gor Mahia waongoza Kundi Shirikisho CAF

Gor Mahia waongoza Kundi Shirikisho CAF

0

Gor Mahia waongoza Kundi Shirikisho CAF

Timu ya Gor Mahia kama utani vile lakini ndiyo timu inayoongoza kundi lake licha ya kuwa na kigogo Zamalek katika kundi moja.

Install App bora ya Michezo Tanzania

Gor Mahia wanaongoza katika kundi lake baada ya kuifunga Zamalek bao 4 kwa 2 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Kasarani nchini Kenya

Huku mchezo mwingine wa kundi hilo kati ya NA Hussein Dey na Petro Atletico ukiisha kwa Hussein Dey kushinda kwa bao 1 kwa 0.

Nkana Fc watambulisha jezi zao kwaajili ya msimu huu

Mpaka sasa Gor Mahia inaongoza kwa kuwa na points 3 na Goal differnce ikiwa 2 huku NA Hussein Dey ikishika nafasi ya pili ikiwa na points tatu pia huku Petro Atletico ikishika nafasi ya tatu na mkiani akiwepo Zamalek ya Misri.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY