Habari mpya kutoka Simba mchana wa leo 5 February 2019

Habari mpya kutoka Simba mchana wa leo 5 February 2019

0

Habari mpya kutoka Simba mchana wa leo 5 February 2019

Mabingwa wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara na wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya Kimataifa klabu ya Simba Imeandika ujumbe kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii kuhusiana na alichokisema kocha wao kuelekea mechi zinazofuata kimataifa.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

Kocha Patrick Aussems amesema hatuwezi kukatishwa tamaa na michezo miwili iliyopita kwani bado tuna michezo miwili ya nyumbani ambayo tunaweza kufanya vizuri.

Kuhusu mashabiki amewataka kuendelea kuishangilia timu na kujitokeza kwa wingi katika mchezo ujao wa #CAFCL ambao tutacheza na Al Ahly kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. #NguvuMoja

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY