Habari mpya kutoka Simba usiku huu

Habari mpya kutoka Simba usiku huu

0

Usiku wa leo 11 February 2019 klabu ya Simba kupitia kurasa zake za Instagram na twitter zimetumia vyema kurasa hizo kuwataka washabiki kujitokeza kwa wingi kesho kushuhudia mechi kati ya Simba na Al Ahly

Ujumbe wa Simba

Wanasimba wote kesho saa 10:00 jioni tunakutana Uwanja wa Taifa kuishangilia timu yetu. 

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY