Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 13 February 2019

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 13 February 2019

0

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 13 February 2019

Jumamosi 16 February 2019 kutakuwa na pambano la watani wa Jadi kati ya Simba na Yanga uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Kuelekea pambano hilo klabu ya Yanga tayari ishabainisha ni wapi imeweka kambi yao kuelekea mchezo huo ambao huteka hisia za washabiki wengi wa soka nchini Tanzania.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

Klabu ya Simba kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara umefunguka juu ya kambi yake kuelekea pambano hilo kwa kusema kuwa kambi yao itabikia jijini Dar es Salaam katika hotel ya Se Cliff.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY