Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 18 February 2019

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 18 February 2019

0

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 18 February 2019

Kikosi cha Simba kipo mkoani Arusha tayari kwaajili ya mchezo kati ya African Lyon dhidi ya Simba hapo kesho siku ya Jumanne katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Karume.

Kuelekea mchezo huo kocha wa Simba alisema kutakukuwa na mabadiliko kwa baadhi ya wachezaji ili kuwafanya wachezaji waliocheza mchezo dhidi ya Yanga kupumzika na kuwa fiti kwaajili ya mchezo ujao dhidi ya Azam Fc.,

Kupitia ukurasa wa Twitter na Instagram wa Simba waliandika.

Kocha Patrick Aussems amesema katika mchezo wa kesho dhidi ya African Lyon atafanya mabadiliko kwa kuwapumzisha baadhi ya wachezaji ambao walicheza mchezo uliopita ili wawe fiti zaidi kucheza mchezo ujao dhidi ya Azam. Pia amesema anaamini kesho timu itapata matokeo ambayo yatawafurahisha mashabiki wetu.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY