Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo

0

Klabu ya Simba kesho 22 February 2019 itashuka dimbani kucheza mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara TPL dhidi ya vijana wengine kutoka jiji la Dar Es Salaam timu ya AZAM Fc wana Lambalamba.

Kuelekea mchezo huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wamewataka washabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo utakaochezwa uwanja wa Taifa huku wakikumbusha goli lililowapa ushindi katika mchezo wa Mwisho Simba dhidi ya Azam Fc bao la Emmanuel Okwi.

Install App Bora Ya Michezo Hapa

: Goli la Emmanuel Okwi lililotupa ushindi katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu tuliocheza na Azam FC. Kesho Ijumaa tunacheza tena na Azam FC ukiwa ni mchezo wa kwanza kwa msimu wa 2018/19. Wanasimba #TukutaneTaifakuishangilia timu yetu. #NguvuMoja

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY